May 19, 2017


Baada ya kufunga mabao manne wakati Tottenham ikiitwanga Leicester kwa mabao 6-1, sasa vita mpya ya wafungaji bora katika Ligi Kuu England.

Kane sasa amefikisha mabao 26 akiwavuka Romelu Lukaku wa Everton ambaye alikuwa akiongoza akiwa na mabao 24, sasa yuko nafasi ya pili na nafasi ya tatu ni Alexis Sanchez wa Arsenal mwenye mabao 23.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV