Wakati Simba ilijisifia kwamba iliipiga bao Simba na kumsajili Pius Buswita wa Mbao FC, Yanga imeonyesha kuwa haitaki utani.
Kwani sasa Buswita ni mali ya Yanga baada ya kusajili mkataba wa miaka miwili.
Buswita sasa ni mchezaji wa Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili huku Simba wakiwa wanabaki wameshangaa.
“Simba walikubaliana kila kitu, likabaki suala la kusaini tu. Lakini wakawa hawana fedha,” kilieleza chanzo.
“Yanga wameitumia nafasi hiyo kuwagaragaza Simba na kumsainisha.”
0 COMMENTS:
Post a Comment