MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA MAKAMU RAIS WA TFF Katibu Mkuu wa zamani wa TFF, Michael wambura amechukua fomu ya kuwania umakamu rais. Wambura amechukua fomu hizo leo kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania tayari kuwania hiyo inayoshikiliwa na Warres Karia.
0 COMMENTS:
Post a Comment