June 14, 2017


Abdallah Haji Shaibu kutoka Taifa Jang'ombe kasaini miaka miwili Yanga, ni beki wa kati. 

Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Jang’ombe, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2016/17, timu ya Yanga.

Ninja amesaini mkataba huo leo mchana kwenye makao makuu ya klabu hiyo iliyopo Jangwani jijini Dar es Salaam, mbele ya katibu, Charles Mkwasa na meneja wa timu, Hafidh Saleh.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic