June 28, 2017

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi leo amehojiwa na Jeshi la Polisi Tanzania.

Taarifa zinaeleza Malinzi amefika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kuhojiwa akiwa na Katibu Mkuu, Mwesigwa Celestine.

Taarifa za ndani zimeeleza Malinzi na Mwesigwa wamehojiwa kuhusiana na utakatishaji fedha na matumizi mabaya ya ofisi.

Pia kuna taarifa zinaeleza kuwa wanaweza kufikishwa mahakamani leo.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV