Hatimaye Mohamed Salah ametua Liverpool akitokea AS Roma ya Italia.
Liverpool imemwaga pauni milioni 39 kumuuza Salah raia wa Misri.
MANUNUZI MAKUBWA LIVERPOOL:
Mohamed Salah - £39m kutoka Roma (June 2017)
Andy Carroll - £35m kutoka Newcastle (January 2011)
Sadio Mane - £34m kutoka Southampton (June 2016)
Christian Benteke - £32.5m kutoka Aston Villa (July 2015)
Roberto Firmino - £29m kutoka Hoffenheim (June 2015)
0 COMMENTS:
Post a Comment