June 28, 2017
Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, ameonyesha kufurahishwa na uamuzi wa Donald Ngoma kuongeza mkataba wa miaka miwili.

Ngoma raia wa Zimbabwe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga katika kipindi ambacho tayari Simba walikuwa tayari kumpa dau ili kumsajili.Dakika chache baada ya Ngoma kusaini mkataba, Kocha George Lwandamina alitupia maneno mtandaoni akimsifia kuwa ni mtu anayejitambua au anayeitambua thamani yake na mwisho akampongeza kwa kumuita "Good Boy".

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV