June 23, 2017



Liverpool imefanikiwa kumsajili Mohamed Salah kutoka kwenye kikosi cha Roma lakini habari ni kuwa bado klabu ya zamani ya mchezaji huyo, Chelsea itafaidika kwa kupata fedha kutoka ana dili hilo litakamilika.

Salah alisajiliwa na Roma akitokea Chelsea mwaka 2016 lakini moja ya sharti lililowekwa na Chelsea ni kuwa itapata asilimia 10 ya kiasi chochote ambacho atasajiliwa baada ya kuondoka Roma.


Hivyo, Liverpool imekamilisha mchakato wa usajili huo wa pauni milioni 39 kama inavyoelezwa, sasa Chelsea itapata asilimia 10 ya ada ya usajili kama walivyokubaliana.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic