June 23, 2017


Kundi la michezo kupitia Facebook #SportsExtra limetoa kiasi cha shilingi 820,000 kama mchango wa rambirambi kwa familia ya marehemu Shose Wazza Scholes Fidels.


Marehemu Shose ambaye alikuwa mpenzi na mwanachama wa klabu ya Simba, alifariki dunia kutokana na ajali ya gari ambayo ndani yake alikuwepo kiungo wa Simba, Jonas Mkude, wakati wakiwa safarini wakitokea Dodoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic