June 15, 2017


Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu amekubali kuwa mgeni rasmi katika mechi ya kirafiki ya Gor Mahia dhidi ya Everton Julai 13 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mama Samia aliwakaribisha Wakurugenzi wa SportPesa, Pavel Slavkov na Abbas Tarimba ofisini kwake jijini Dar es Salaam, jana.

Slavkov aliongoza jopo la SportPesa kumtembelea Mama Samia ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Gor Mahia ya Kenya ndiyo watakuwa wenyeji wa Everton baada ya kushinda ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa kuitwanga AFC Leopards ya Kenya pia kwa mabao 3-0.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV