Kiungo Ally Shomari ni mali ya Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Shomari amesaini Simba jana na hivi ndivyo zoezi la kusaini na kukabidhiwa jezi lilivyokuwa.
Kiungo huyo mwenye uwezo wa kucheza namba 2, 7, 6, 8, 10 na 11 anaonekana ndiye atachukua nafasi ya Ibrahim Ajibu anayekwenda Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment