June 27, 2017


Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho ametua Ureno tayari kwa mazishi ya baba yake mzazi.


Jose Manuel Mourinho Felix, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua muda mrefu.
Mazishi yanatarajiwa kuwa leo mini Setubal na tayari ndugu na jamaa wa familia hiyo wako mjini hapo.


Felix alikuwa mwanasoka na aliwahi kucheza hadi timu ya taifa ya Ureno akiwa kipa.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV