July 14, 2017


Kikosi cha Azam FC, kimeanza mazoezi kwa kasi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.

Mazoezi hayo yanafanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex unaomilikiwa na klabu hiyo.

Azam FC imefanya mabadiliko makubwa katika kikosi chake baada ya kuamua kuachana na wakongwe.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV