July 14, 2017
Nahodha wa zamani wa Barcelona, Carles Puyol yeye hajui hata mechi za maveterani ni mwendo wa “mdogomdogo”, anaponda tu.

Jana nusura amvunje mguu Phil Neville, beki wa zamani wa Man United katika mechi za wakongwe wakati nyota sita wa Hispania wakichuana na sita wa England.Michuano hiyo maalum kwa nyota wa zamani, iliwaunganisha nyota wengi wakiwemo Jay Jay Okocha wa Nigeria, Steven Gerrard, Roberto Carlos, Rivaldo na wengine wengi.

Hata hivyo, mara moja Puyol alimuomba radhi Neville na kumuambia hakuwa amekusudia hilo.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV