July 23, 2017


Chelsea imemuadhibu wing wake, Kennedy kwa kuonyesha tabia  isiyo ya kiungwana.

KENNEDY (KUSHOTO) ALICHEZA MECHI DHIDI YA ARSENAL.
Kennedy alimpiga picha mlinzi mmoja akiwa amelala na kuandika maneno yaliyoonekana kumdhalilisha. Mlinzi huyo alionekana akiwa rindoni kwake lakini alipitiwa usingizi.

Baadaye Chelsea ilimtaka kuomba radii mtandaoni katakana na kauli hizo zisizo za kiungwana.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic