Manchester City imemsajili beki Danilo kutoka Real Madrid.
Man City imemwaga pauni million 27 kwa Real Madrid.
Beki huyo ni sehemu ya Man City kutaka kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao.
Kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola anaonekana amepania kuiimarisha City kuhakikisha msimu huu anaanza kubeba makombe.










0 COMMENTS:
Post a Comment