July 28, 2017Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi makali kujiandaa na msimu ujao.

Yanga ambao walianza na mazoezi ya gym, jana na leo kambini kwao Morogoro wamekuwa na mazoezi makali ya kukimbia kuhakikisha wanakuwa imara katika stamina.Kocha George Lwandamina alikuwa akiangalia pembeni huku kocha wa viungo akisimamia kwa ukaribu zoezi hilo.

Ili kushiriki kwa ufasaha zoezi hilo lazima kuwa na pumzi au mvumilivu wa mzigo mkubwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV