July 28, 2017


Neymar amezua timbwili baada ya kuzichapa mazoezini huko Miami, Marekani ambako Barcelona imeweka kambi.

Neymar amezichapa na beki Nelson Semedo ambaye amejiunga na Barca akitokea Benfica.

Baada ya Janvier Mascherano kuingilia na Sergio Bosquet  kumuondoa Neymar eneo la tukio, yeye aliondoka kwa hasira uwanjani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV