July 23, 2017



Kiungo nyota wa Chelsea,  Pedro aria wa Hispania sasa ana nafuu.

Pedro aligongana na kips wa Arsenal, David Ospina wakati wa mechi ya michuano ya ICC jijini Beijing, China.


Siku ya kwanza hali yake haikuwa mbaya lakini sasa anaonekana kuwa na nafuu kubwa.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic