July 30, 2017
KRC Genk imepata sare ya mabao 3-3 ikiwa nyumbani dhidi ya wageni Waasland-Beveren.

Mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta amefunga bao la pili ambalo lilikuwa la kusawazisha.


Wageni Waasland-Beveren walipata mabao mawili ya harakaharaka na kuongoza kwa 2-0.

Lakini Genk ilisawazisha kupitia Naranjo kabla ya Samatta kufunga la pili na Leandro Trossard kufunga la tatu lakini wageni wakakomaa na kusawazisha katika dakika ya 90 kupitia Zinho Gano.VIKOSI:
KRC Genk
Jackers – Nastić, Brabec, Colley, Khammas (63. Maehle) – S. Berge, Trossard, Malinovskyj (67. Naranjo) – Buffel (C), Samatta, Manuel (46. Schrijvers).
Waasland-Beveren

Goblet – Jans, Moren, Camacho, Demir – Seck (C), J. Cools – Myny (63. Boljević), Morioka, Opoku Ampomah (75. Cerigioni) – Gano.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV