July 21, 2017


Ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na Ligi Kuu Bara, Yanga itaivaa Singida United katika mechi ya kirafiki itakayopigwa Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Tayari uongozi wa Singida United umethibitisha kuwepo kwa mechi hiyo kwenye Uwanja wa Taifa.


Timu zote mbili zinadhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.

1 COMMENTS:

  1. Picha tarehe 5/08 maelekezo ni tarehe 8/08 sijui tarehe ipi ni ya kweli

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic