Manchester United wamepaa kuwafuata Swansea kwa ajili ya mechi ijayo ya Ligi Kuu England.
Man United imeanza kwa kuichapa West Ham United kwa mabao 4-0.
Kikosi cha Man United kikiongozwa na Kocha Jose Mourinho wame’panda ndege kwenda jijini London kwa ajili ya mechi hiyo itakayopigwa kesho Jumamosi.
0 COMMENTS:
Post a Comment