August 18, 2017




Mwamuzi bora wa msimu uliopita, Elly Sassi mwenye umri wa miaka 28 ndiye atakayecheza mechi ya watani Yanga na Simba.

Simba na Yanga zinakutana Jumatano ijayo katika mechi ya Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Sassi ambaye ndiye mwamuzi bora Ligi Kuu msimu ulioisha 2016/2017.

Mwamuzi huyu kijana, amekuwa akitabiriwa kufika mbali kutokana na ubora wa kazi yake. Maoni yako ni nini?

2 COMMENTS:

  1. Ni kweli anauwezo mzuri,bt sina uhakika na psychology ability yake katika utulizaji wa rabsha za mechi kama hii.namtakia mema.

    ReplyDelete
  2. He knows what he does! Wishing him all the best.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic