Kiungo mkabaji mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi ametua mjini Pemba.
Tshishimbi anakwenda kuunganana Yanga ambayo imeweka kambi mjini Pemba kujiandaa na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, Jumatano.
Kutua kwa Tshishimbi kunakamilisha idadi ya wachezaji wapya wa Yanga na kuondoa hofu ya safu ya kiungo.
Mcongo huyo amejiunga na Yanga akitokea Mbabane Swallows ya Swaziland.
0 COMMENTS:
Post a Comment