Paulinho ametambulishwa rasmi katika kikosi cha Barcelona.
Rais huyo wa Brazil amesajiliwa kwa kitita cha pauni million 36.5 akitokea Guangzhou Evergrande ya China.
Paulinho alikabidhiwa jezi namba 15 nba rasmi akatambulishwa kwa mashabiki huku akicheza na watoto.
0 COMMENTS:
Post a Comment