September 11, 2017


Liverpool imesema itakata rufaa lie adhabu ya kufungiwa mechi tatu iliyomkuta mshambuliaji wake Sadio MAne.

Mane raia wa Senegal alimkanyaga kipa Ederson wa Manchster wakati Liverpool ilipokumbana na kipigo cha mabao 5-0.


Tayari Mane alimuomba msamaha kipa huyo lakini FA imeamua kumfungia mechi tatu ingawa Liverpool inaona si sawa kwa kuwa tayari alipewa adhabu ya kadi nyekundu uwanjani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic