July 28, 2021




 BREAKING:OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amebwaga manyanga ndani ya Simba na kwa sasa nafasi yake inachukuliwa na Ezekiel Kamwaga ambaye anakuwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Klabu kwa kipindi cha miezi miwili.

Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram imeeleza kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, kwa kauli moja imeridhia matakwa ya ndugu Haji Manara ya kutoendelea kuhudumu katika nafasi ya msemaji wa Klabu ya Simba.

Bodi inamshukuru kwa maneno aliyoyatumia kuwaaga wana Simba katika kundi la viongozi wa Simba, (Simba HQ)  na kwa kazi aliyoifanyia Klabu ya Simba katika kipindi alichoshika nafasi hiyo na inamtakia heri katika shughuli zake.

12 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Timu ya Familia hiyo Mikia muelewe.Nyie hamna chenu. Wanawatumia ninyi kupiga hela. Timu haina ofisi wala Account. Wananunua marefa ili kuwa win

      Delete
  2. Hajabwaga manyanga, ameondolewa. Sasa awe huru kufanya kazi na yanga, gsm au azam, na asilete maneno.

    ReplyDelete
  3. Manara karibu GWAMBINA tuendeleze mapambano.......KAZI IENDELEE!!!!

    ReplyDelete
  4. Manara ni mtu mkubwa simba ni zaidi ya mashabiki

    ReplyDelete
  5. Na bado...cas inakuja.. hehehe

    ReplyDelete
  6. Nunua na wewe wa kwako@anonymous

    ReplyDelete
  7. Manara kabla hajaenda simba nani alikuwa?yeyote atakaye kanyaga simba lazima ajulikane so manara si mkubwa kuliko simba kilicho mfanya awe maarufu ni jina la simba.

    ReplyDelete
  8. Hahahaha uyomwana Mama atawamaliza hapo timu yamo nishida

    ReplyDelete
  9. Mimi sijaelewa vizuri kuhusu kujivuwa kwa Ndugu Manara. Jee yeye kajivuwa uongozi au vilevile uwanachama wake wa Simba jumla jumla?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic