October 17, 2017



Anthony Joshua amebadilishiwa mpinzani baada ya Kubrat Pulev kutoka Bulgaria kuumia bega.

Joshua sasa atamvaa Carlos Takam katika pambano linalotarajia kupigwa Oktoba 28 jijini Cardiff.



Takam raia wa Ufaransa yuko namba tatu kwa ubora katika IBF na amepoteza mapambano matatu kati ya 39 ya kulipw aliyocheza.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic