October 13, 2017


Mshambuliaji kiwembe wa Tottenham Hotspur, Harry Kane ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Septemba.
Kane amefunga mabao sita ya Ligi England katika mwezi huo.
Kadiri siku zinavyosonga mbele, Kane amezidi kuwa mshambuliaji hatari na tishio.

Kwa tuzo aliyoshinda, maana yake nahodha huyo msaidizi wa Spurs sasa ana tuzo nne za mwezi za Ligi Kuu England baada ya kushinda nyingine awali ambazo ni Januari 2015, Februari 2015, Machi 2016 na Februari 2017.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic