Kikosi cha Yanga kimetua mjini Bukoba tayari kwa mechi yao dhidi ya Kagera Sugar.
Yanga wametua na ndege aina ya ATR inayomilikiwa na kampuni ya Precision Air tayari kwa mchezo huo.
Awali, Yanga ilikuwa isafiri na basi kwenda Bukoba, lakini ilielezwa safari iliahirishwa baada ya mfanyabiashara mmoja shabiki wa Yanga kujitolea kuisafirisha kwa ndege.

0 COMMENTS:
Post a Comment