Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwa kuwa ni manahodha wa timu za taifa nao wanatakiwa kupiga kura ya kuchagua mchezaji bora wa dunia au Fifa.
Katika tuzo zilizomalizika hivi punde jijini London, England na Ronaldo kumshinda Messi, wawili hao pia walipiga kura zao tatu.
Katika kura walizopiga, Ronaldo alipiga upande wa Ureno na Messi upande wa Argentina.
KURA TATU ZA RONALDO TUZO YA FIFA ZILIKWENDA KWA...
1. Modric
2. Ramos
3. Marcelo
KURA TATU ZA MESSI TUZO YA FIFA ZILIKWENDA KWA...
1. Suarez
2. Iniesta
3. Neymar
0 COMMENTS:
Post a Comment