October 24, 2017


Kocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Salum Mayanga alimchagua Ronaldo kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Fifa.

Hafla ya tuso hizo ilifanyika jana jijini London nchini England na Mayanga alimchagua Ronaldo kama mshindi.



Kawaida, wanaopiga kura hutakiwa kuchagua wachezaji watatu na Mayanga nafasi ya pili alimpa Lionel Messi na nafasi ya tatu akaitoa Neymar wa PSG.


Kawaida makocha hupiga kura kila mmoja akichagua wachezaji watatu na nafasi ya kwanza ikiwa na kura nyingi zaidi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic