October 24, 2017




Wakati Kocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Salum Mayanga alimchagua Ronaldo kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Fifa. Nahodha wa kikosi chake, Mbwana Samatta alimchagua Neymar.

Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji alimteua Neymar anayekipiga PSG ya Ufaransa kama chaguo lake namba moja.


Nafasi ya pili aliitoa kwa kiungo mkabaji wa Chelsea, Ng’olo Kante na nafasi ya tatu akaitoa kwa mshambuliaji wa Borussia Dortmund na nahodha wa Gabon, Pierre Aubameyang.

Hafla ya tuso hizo ilifanyika jana jijini London nchini England, jana na Ronaldo akaibuka na ushindi.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic