October 14, 2017



Man United leo iko ugenini kwenye Uwanja wa Anfield dhidi ya wageni wake Liverpool.


Nakipanga kikosi kwa kuchukua vikosi vyote viwili halafu naangalia mchezaji wa timu ipi angepata nafasi ya kucheza.

Hapa ninachoangalia ni ubora na mchezaji wa kikosi kipi anaweza kumtoa wa kikosi kingine kutokana na ubora wake.

Nakuruhusu kupanga chako...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic