October 11, 2017


 Nyamayao (kushoto) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally, baada ya kuwasili katika Ofisi za Kampuni hiyo zilizopo, Sinza Mori, Dar.



…. Akisalimiana na Mhariri wa Championi Jumamosi, Elius Kambili.
 …. Akisalimiana na Mhariri wa Championi Ijumaa, John Joseph.
 …. Akisalimiana na Mhariri wa Championi Jumatano, Philip Nkini.

…. Akisalimiana na Mwandishi wa Championi Wilbert Molandi (kulia).





BALOZI wa StarTimes Tanzania, ambaye hufanya tafsiri ya filamu za Kichina kwa Lugha ya Kiswahili ambazo hurushwa na StarTimes, Nyamayao ametembelea Ofisi Mpya za Kampuni ya Global Publishers zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam na kupata fursa ya kubadilishana mawazo na wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Nyamayao ambaye ni mshindi wa mashindano ya Kiswahili ya StarTimes aliambatana na Meneja Masoko na Mahusiano wa StarTimes Tanzania, Juma Sharobaro ambapo alipata pia fursa nyingine ya kufanyiwa Exclusive interview na Global TV Online

Katika mahojiano hayo, Nyamayao ameanika mengi ikiwemo maisha yake ya sasa na mipango yake ya baadaye.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic