October 1, 2017



PSG imeitwanga Bordeaux kwa mabao 6-2 huku mshambulizi wake Neymar akipiga mabao mawili.

Pamoja na Neymar kupiga mabao mawili, wengine waliofunga ni Edinson Cavani, Thomas Meunier na Julian Draxler nao wakatupia mabao.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic