October 1, 2017

JULIO AKIWA ANARUKA WA UWANJA WA NYAMAGANA KUINGIA UWANJANI KUFANYA MAZOEZI



Kocha wa Polisi Dodoma, viongozi na wachezaji wengine walijikuta wakialazimika kuruka ukuta ili wapate nafasi ya kufanya mazoezi jana.

Kikosi cha Polisi Dodoma kipo mjini Mwanza kuivaa Alliance katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza, leo.

Kwa kuwa uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza ndiyo unaotumika, walijikuta wakilazimika kuruka ukuta ili wafanye mazoezi baada ya mlinzi kuwazuia bila ya kueleza sababu za msingi.


Julio na wachezaji, viongozi wengine pia waliruka ukuta ili wafanye mazoezi na wenyewe wamelaani kitendo hicho kama sehemu ya figisu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic