October 3, 2017


Kampuni ya StarTimes Tanzania wameonyesha wanawajali wateja wao katika wiki ya Huduma ya Wateja baada ya kuendelea kuwa kampuni pekee inayowapa nafasi ya kutembelea na kujifunza kupitia vitendea kazi vyao.

 Mkurugenzi na Uendeshaji wa StarTimes Tanzania, Carter Luo, amesema: “Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, tumekuja na kitu kipya ambapo tumeongeza chaneli kwenye king’amuzi chetu kwa ajili ya kuwapa burudani zaidi wateja wetu kwani tunawajali sana.”


Pia Luo amesema ili kuwafikia wateja wao kwa haraka na kuwatatulia matatizo yao, katika kitengo chao cha huduma kwa wateja wameongeza watu na kufikia 300 ambapo wateja wao watakuwa wakiwasiliana nao kwa namba 0764700800 na 0677700800.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic