November 24, 2017


Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajibu Migomba ni mtu anayeupenda mchezo wa mpira hasa na anapouna mpira angependa kuuchezea anavyotaka.

Juzi, Ajibu alikuwa akijaribu kufanya zile mbwembwe zinazofanana na kiungo wa zamani wa FC Barcelona, Ronaldinho.

Anapokuwa mazoezini, Ajibu anapenda kupiga mpira anavyotaka kwa kila aina ya mbwembwe.


Katika mazoezi ya Yanga ambayo mara nyingi hufanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Ajibu amekuwa akipiga mpira kwa kila aina ya mbwembwe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic