Beki Sergio Ramos amerejea mazoezini Real Madrid, siku chache baada ya kuvunjika pua.
Ramos amerejea akiwa amevaa “mask” maalum inayomlinda kujitonesha pua hiyo.
Beki huyo kisiki na mmoja wa manahodha wa Real Madrid amefanya mazoezi na wenzake katika eneo la Ciudad Madrid nje kidogo ya jiji la Madrid, Hispania.
0 COMMENTS:
Post a Comment