Ammy Ninje, Mtanzania aliyewahi kucheza soka la kulipwa nchini England, ndiye amekabidhiwa kikosi cha Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars.
Kilimanjaro Stars itashiriki michuanon ya Chalenji nchini Kenya na Ninje ndiye ataongoza benchi la ufundi.
Pamoja na kuongoza benchi la ufundi, Ninje amekuwa msaidizi wa Salum Mayanga katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars.







0 COMMENTS:
Post a Comment