Mzee wa vituko, Mario Balotelli ameonyesha bado ana uwezo baada ya kupiga bao mbili na kuisaidia Nice ya Ufaransa kushinda mabao 3-2 dhidi ya `Zulte-Waregem.
Ushindi huo umeipa nafasi Nice kusonga mbele katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Europa League.
Sasa katika kundi lao la K, Nice inaungana na Lazio ya Italia. Lazio nao waliendeleza ushindi kwa kuichapa Zulte Waregem 3-1.
0 COMMENTS:
Post a Comment