HASSAN MUSA VIDALLAH- 24 YRS
KIJICHI- DAR ES SALAAM
KAZI-DOKTA WA TIBA MBADALA/DAWA ZA ASILI
“Mimi na mke wangu tunawashukuru sana SportPesa kwani wanaenda kubadili maisha yetu, Siku ya kwanza kuona ilikuwa mshindi kutoka tanga aitwaye Cassian Anthony ambaye aliweka kwenye mtandao wake wa kijamii Instagram akisema ameshinda bajaji, ilibidi nimfate pembeni kwenye message ya kawaida na kumuuliza ni jinsi gani alicheza na kushinda, Cassian hakuwa mchoyo kwani alinielekeza na nikaingia kwenye ukurasa wa SportPesa ili kupata taarifa zaidi jinsi ya kushiriki promosheni hii.”
“Kikubwa ni imani nilikuwa na imani kwamba kama ninavyoona watu wakitoa ushuhuda kwamba wanashinda basi na mimi ipo siku nitashuhudia ushindi wangu kwa watu na kweli imetokea.”
“Siwezi kuiongelea furaha yangu maana hii bajaji itanisaidia kufanikisha mambo yangu mengi sana ikiwemo kuisaidia familia yangu pamoja na wadogo zangu kuwaendeleza na masomo kwani sisi kwetu wengi tumeishia kidato cha nne hivyo hii itakuwa moja kati ya njia itakayo niingizia kipato ukiacha na kazi yangu ya sasa hivi ya kuuza dawa za tiba mbadala.”
0 COMMENTS:
Post a Comment