Donald Ngoma ambaye ni mshambuliaji wa Yanga ametajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 29 walioitwa kujiunga na kambi ya timu ya taifa ya Zimbabwe kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji ambayo inatarajiwa kuanza mwezi ujao nchini Kenya.
Licha ya kujumuishwa kwenye kikosi hicho, Ngoma hakuwa na mwanzo mzuri kwani amefanikiwa kufunga bao moja tu mpaka sasa kwenye Ligi Kuu ya Bara ambayo imesimama kupisha michuano hiyo.
Ngoma ambaye amekuwa na matatizo ya hapa na pale ndani ya klab u yake, ndiye mchezaji pekee anaecheza ligi ya nje ya Zimbabwe kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Sunday Chidzambga.
Michuano ya Kombe la Chalenji kwa mwaka huu inatarajiwa kuanza Desemba 3 hadi Desemba 19 ikishirikisha timu 10.
Kikosi cha Zimbabwe:
Makipa: Elvis Chipezeze (Chicken Inn); Herbert Rusawo (Black Rhinos) Takabva Mawaya (Ngezi Platinum Stars)
Walinzi: Divine Lunga (Chicken Inn); Praise Tonha (How Mine); Qadr Amini (Ngezi Platinum Stars); Partson Jaure (Ngezi Platinum Stars); Farai Madhananga (Harare city); Peter Muduhwa (Highlanders); Jimmy Dzingai (Yadah Stars); Collin Kwaramba (Chapungu); Kelvin Moyo (FC Platinum); Steven Makatuka (Caps United).
Viungo: Devon Chafa (Caps United); Gerald Takwara (FC Platinum); Never Tigere (ZPC Kariba); Liberty Chakoroma (Ngezi Platinum Stars); Rodwell Chinyengetere (FC Platinum); Ishmael Wadi (Bulawayo City); Raphael Manuvire (ZPC Kariba); Ali Sadiki (FC Platinum); Clemence Matawu (Chicken Inn) Martin Vengesai (Harare City).
Washambuliaji: Dominic Chungwa (Caps United); Clive Augusto (Ngezi Platinum Stars) Terrence Dzukamanja (Ngezi Platinum Stars) Donald Ngoma; Lot Chiwunga (Black Rhinos).

0 COMMENTS:
Post a Comment