HAIDARY MRISHO- 39YRS
TANGA
MFANYABIASHARA-SHUGHULI NDOGO NDOGO
“Mimi natumia sana laptop na simu hivyo nilijifunza jinsi ya kujiunga ingawa mwanzoni nilikwama nikawapigia huduma kwa wateja SportPesa na wakanipa ushirikiano mzuri sana kwakweli.”
“Nilikuwa siamini kabisa kama nimeshinda ukweli ingawa namba yangu ilionekana kwenye tv na sikuhiyo nilipigiwa simu na watu wengi sana hata wengine ambao siwafahau kutoka mikoa tofauti mfano Mtwara, Mpanda, Tanga na nikawaeleza ni kweli yani hata mimi siamini, mpaka hii leo mlivyoniambia mko njiani mnakuja sikuamini hadi sasa hivi mlivyofika na bajaji yangu”
0 COMMENTS:
Post a Comment