Sportpesa wameendelea kuchanja mbuga na SHINDA NA SPORTPESA baada ya mfanyabiashara Nyakanazi, Bukoba, Wilson Wincheslaus Ngemela kushinda.
Tayari Ngemela mwenye umri wa miaka 21, amekabidhiwa Bajaj yake ya kisasa aina ya TVS King Deluxe.
Furaja ya Ngemela ilionekana wakati akikabidhiwa Bajaj iliyo aliyoshinda katika droo ya 14.









0 COMMENTS:
Post a Comment