November 16, 2017





 Desemba Mosi ndiyo itajulikana mani atakuwa kundi lili wakati ratiba ya Kombe la Dunia itakapopangwa.

StarsTimes kupitia king’amuzi chake itaonyesha moja kwa moja tukio hilo la upangaji wa ratiba.

Ratiba hiyo itajumuisha timu 32 zitakazishiriki Kombe la Dunia nchini Russia.

Vyungu vine vyenye timu 32 ndiyo vitakavyoamua nani awe yupi na acheze kundi lipi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic