Leroy Sane wa Man City ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Oktoba wa Ligi Kuu England.
Sane mwenye umri wa miaka 21 ameisaidia City kushinda mechi tatu mfululizo katika mwezi Oktoba.
TAKWIMU ZA SANE MSIMU WA 2017-18:
MECHI: 17
MABAO: 8
Asisti: 7
MECHI ZAKE EPL KWA OKTOBA:
Man City 7-2 Stoke City (Bao 1, asistI 1)
Man City 3-0 Burnley (Bao 1, asistI 1)
W Brom 2-3 Man City (Bao 1, asistI 1)
0 COMMENTS:
Post a Comment