November 12, 2017



Senegal imeitwanga Afrika Kusini kwa mabao 2-0 na kufanikiwa kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia mwakani huko Russia.

Afrika itawakilishwa na nchi tano ambazo ni Misri, Morocco, Tunisia, Nigeria pamoja na Senegal.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic