Kikosi cha Yanga chini ya Kocha George Lwandamina, kimeendelea kujifua jijini Dar es Salaam.
Mazoezi ya leo ya Yanga yanakuwa ya mwisho kabla ya mechi yake ya Ligi Kuu Bara, kesho.
Yanga imeendelea na mazoezi yake kwenye Uwanja wa Uhuru ikijiandaa na mechi yake ya kesho dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja huo.







0 COMMENTS:
Post a Comment